EXCLUSIVE: YANGA YAMUANGUKIA PLUIJM, YAKATAA ASIJIUZULU, YAMRUDISHA, MWIGULU NCHEMBA AHUSIKA
Uongozi wa klabu ya Yanga, umelazimika kumuangukia aliyekuwa kocha wake Hans van der Pluijm.
Pluijm aliandika barua kujizulu baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na Kocha George Lwandamina.
Lwandamina alikuja nchini kuzungumza na uongozi wa Yanga, jambo ambalo mwisho linaonekana kukwama.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba ndiye alifanya kazi ya ziada
kufanya mazungumzo na Pluijm ambaye inaelezwa amekubali kurejea.
Post a Comment