Rais Magufuli Amteua Mama Anna Mgwhira Kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

 IKULU: Rais Magufuli amemteua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, mama Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akijaza nafasi ya Said Meck Sadick aliyejiuzulu.

No comments

Powered by Blogger.