WAUMINI WAFA KWA MOSHI WA MKAA WAKINGOJEA MWISHO WA DUNIA

Waumini kadhaa wa wamekimbizwa
hospitali baada ya tukio hilo la mwishoni mwa wiki lililotokea katika
mji wa Ajarra, karibu na Mji wa Porto Novo.
Waumini hao wa Kanisa Takatifu Mno
la Yesu Kristo, kanisa lao limekuwa likiipinga dini ya Voodoo ambayo
ndio dini kubwa kwa waumini wengi nchini Benin.
Waumini wa kanisa hilo lenye utata
wamekuwa wakipambana na waumini wa madhehebu mengine nchini Benin.
Waumini wa Voodoo wakiwa katika maadhimisho ya siku ya imani yao
Post a Comment